Friday, April 26, 2013

UKABILA ADUI YA AFRICA



































WWW.alkethiri.com

kwa nini tunajidaganya kenya atuna ukabila?ilo nino ni kujidaganya mchana,ukweli ni kwamba Kenya tuna ukabila,just ona vile tulipiga kura
utakubaliana na mimi,na kwa hivo akuna daiy ya kusema Kenya atuna ukabila na ukabila umeja kama maji ya lake Victory.
 Dawa ni kukubali kwamba kuna ukabila na kwendeleya kuishi kwa pamoja kama ndugu na kila mtu lujuwa kabila yake,kwahivo
 tufanye nini?nilazima KATIBA ibadilishwe kwamba kila kabila atawale kama Raise ya kenya mara moja,kabila hilo lirudi kutawala hadi kabila zingine zote
 zimrpata kwa kiti ya uraisi.ilo litafanya part zote ziwe za kila kabila na kila mtu